Mulika Daktari daktari! daktari! hapa! saidia hapa!
msichana yangu anashindwa kupumua... si umuletee ile machine ya oxygen?
aaaah! mama acha kunisumbua! mwenye kifunguu ya oxygen ameenda lunch!
alice jikaze tu... mungu atakuponya. jikaze msichana yangu...
na uwache kuniitaita hivyo. huoni niko busy?
sasa mama alice. nime-come kumcheki. anaendeleaje?
ako tu. ana shida sana ya kupumua lakini hawa madaktari... mimi sijui!
19