Cheki ndani; Hapa ni kama Maria Kim anatafutwa na drama za aina mingi. Si relationship, si maisha… ona vile kunamwendea. Rosie ako suspicious juu venye Charlie Pele amebadilika kuwa mtu mwingine tofauti haieleweki kabisaa! Malkia ame-make big win kwa ile kesi cha Esther. Hebu soma ujue story imefika wapi. Boyie ameingia story ya betting but kuna venye ako confused afanye aje. Tena msupa wa past yake amerudi!