After kugundua manipulation ya George, Maria Kim anaamua kujitoa akae single lakini si rahisi. Wuuui Kimeramba Charlie pele after suspension juu ya kupea Naomi ball. Ama yeye ni vajo? Huku kwingine, after kushinda poetry competition, Malkia anaharibiwa siku na Brizi ku-force issues. DJ B anaomba dunia ifunguke immeze after ame-bet na kupoteza doh ya mum ya hosi - kuna shida mahali?
Tamba na chapta 162 na ikubambe. #TukoOn