After kuchochwa na Manduru alewe, Charlie anaamkia hangover na news ati amepeana ball. Malkia anaona true colors za Brizi after kuji-force kwake. Boyie anazidi kuzama kwa betting. Atazama pia kwa Aida? Maria Kim anajituma kusaidia survivor wa abuse kwa mtaa yake - justice itapatikana?
Chambua chapta 161 ukae na rada.