HII NI ZAWADI YA MAEMBE
MAMA SIWEZI MALIZA MATUNDA HAYA YOTE
UNAJUA HUU NI WAKATI WA KUVUNA MAEMBE. MKINIACHA NA HAYA MATUNDA YATAHARIBIKA
PIA MUM, HATUWEZI KUPATA MATUNDA HAYA NYUMBANI
MUM, SI TUUZE HAYA MAEMBE KWETU NYUMBANI, AM SURE KUNA READY MARKET.
PESA!..... TUTABEBA YOTE MAMA.
7