Kauli ya Salzburg
kuhusiana na Ulimwengu wa Wingi-lugha Katika ulimwengu wa sasa wenye mahusiano mengi, uwezo wa kuzungumza lugha nyingi na kuwasiliana na watu wanaotumia lugha mbalimbali ni stadi muhimu sana. Hata ujuzi mdogo tu wa lugha zaidi ya moja ni muhimu. Ustadi katika- lugha zaidi ya moja ni aina mpya ya elimu ulimwenguni. Uwezo wa kujifunza lugha unapaswa kupanuliwa kwa wote – wachanga kwa wazee.
TUNAISHI KATIKA ULIMWENGU AMBAPO: • • • • • 2
• 3
•
Hata hivyo, mamilioni ya watu kote ulimwenguni wamenyimwa haki ya kudumisha, kufurahia na kukuza lugha zao za utambulisho na za jamii. Ukosefu huu wa haki unapaswa kurekebishwa kupitia sera za lugha zinazounga mkono kuwepo kwa jamii na watu wenye ujuzi wa kiwingi-lugha. Sisi, washiriki katika kikao cha Salzburg Global Seminar kuhusu Jukwaa la kuboresha Vipaji: Kujifunza na Kushirikisha lugha katika Ulimwengu wa Kiutandawazi (Disemba 12-17, 2017 salzburgglobal.org/go/586), tunasisitiza kuwepo kwa sera zinazothamini na kuendeleza kuwepo kwa wingi-lugha na haki za lugha. Kauli ya Salzburg Kuhusiana na Ulimwengu wa Wingi-lugha itatiwa nguvu na ripoti ya kina pamoja na blogu kuhusu mada muhimu zitakazochapishwa katika mwaka wa 2018.
1
4 5
6
KANUNI •
• • •
The Salzburg Statement for a Multilingual World was jointly drafted in English by Salzburg Global Fellows. All translations have been provided through the goodwill and voluntary efforts of the Fellows and their SalzburgGlobal.org
colleagues. Read the original here: education.salzburgglobal.org/statements