Maria Kim anaamua kujitegemea after kutoka kwa relationship toxic na George, huku finally justice ikipatikana kwa kesi ya Mercy. Kwingine, after kujirudia na kuona vile alichoma juu ya kuchochwa na mbogi, Charlie Pele anaamua kuanza fresh na kufanya vitu vile inafaa. Shosh anajenga daraja kati ya Malkia na mama yake, huku Boyie akianza safari ya kurudisha maisha yake fom after kuzamishwa na ngori za betting.
Chambua chapta 163!