Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!
Shule Poa neema, form ndio hii. tukiijaza tuna-enter hii compe ya “shule poa�.
Tuta-win kweli? Shule yetu ina shida MOB! Cheki class zinabomoka, hakuna books enough...
neema! peleka hii kitabu kwa ofisi ya headmistress! yes sir!
18
maria, you are so lovely! kwanza kashingo... smooth!