Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!
Beste Wa Elimu
j.k tumeshinda hapa two hours na tuko na points mbili pekee. hii assignment tutaimaliza leo? ile website tulipata ilikuwa na points mob ukazikataa. sasa it’s almost usiku.
hizo zilikuwa story za wasee wa america, hazi-apply hapa.
i wish tungeweza kupata mtu ameenda campo hapa atu-show hizi story.
sasa maria kim na j.k.? nimesikia mkiongea. kuna msee najua anaweza kuwasaidia. naweza kuwapeleka kwake.
cindy, natoka mapema kidogo. si ikifika 7.30 ufunge cyber? hakuna noma. tuchekiane kesho!
ah, edna! utakuwa umetusaidia sana, twende!
19