Malkia Mchungaji
Imagine katachujwa juu ya fees! Hahaa! Ebu amalize kuongea na hiyo simu haraka. Wee kumbuka credo si free!
Acha aongee, si amekubali ku-copy notes zako Jipesh!
Ah, saa hizi niko mbali. Panda bus uende kwa Shosho yako, nikirudi nitawapa cheque.
Wazi!!
Hallo, mum? Haukuwa umelipa fees? Imagine wananifukuza!
9