Tunasoma maths, Bio, Swahili, Geography, art, music etc na zote ni examinable
Tunakuwanga stressed by the end of the term
agenda ya malkia Am sure kuna kitu kinahitaji kufanyika kabla m-give up na masomo. Nitaenda nijulishe princie immediately
After kusoma hio yote, hatuna assurance kuwa tutapata jobo
Hiyo storo inanimalizia morale ya kuendelea na shule. Nita-drop out.
IT WASN’T included in the budget, so I can’T help you
Lakini wewe ni principal. Ukisema itafanyika
Yes Mr. Kibo
We need biscuits in the staffroom during tea break
Excuse me sir. We have a problem
9