Safari ya ocha! si tuite mbuzi phyllis?
phyllis si jina poa!!!
ai... lakini nadhani ana-miss yule mtoi wake mwenye phyllis aliuzwa... ni jina poa!!!
yenyewe... labda angekuwa mlafi vile phyllis hukuwa...
haitwi phyllis!
na, umesahau, labda amefuata kwa babake... kama vile, kwetu, grandfathe ni mpoa shambani...
Sijui watoi wake watakuaje...
24
...lakini grandmathe haku-like stori za shamba... ...na mbuyu hujaribu lakini inakuwanga ngumu kwake...
baba chaaaarlie!!!