VIPI SHUJAAZ FM!
DJ B HAPA!
ASANTE KWA SMS ZENYU. kEEP THEM COMING!
SMS NUMBER NI 3008...HEBU NIPIGIE MA-DAME WENGINE WAMENITUMIA SMS YA KISHUA.HELLO... HELLO DJB!
SHOW MAFANS JUU YA PROJECT YENU.
SI UNAKUMBUKA PROJECT YETU YA CATERING VILE ILIANZA MDOGO MDOGO...
3