Malkia alifukuzwa juu ya school fees, babake akarudi majuu ku-hustle na mamake home kazi ni kulewa tu. Cheki kenye anafanya about it. Maria Kim anapatana na JK na bro yake Brayo after kuwatafuta for long. Boyie ako kwa ngori juu ya ku-challenge leaders hii time ya campaign. Charlie Pele ali-record evidence ya Bwana Kimbo akipanga kuchoma Shule akaipeleka kwa makarao. Cheki hizi stori moto!