Siz ya Boyie aamekuwa Kidnapped na Governor wa area. Malkia amekosana na mathake na anaishia ocha kucheki shosh, then anapatana na Ericko. Maria Kim amerudiana na JK, alafuJK akatishiwa na Karao akahama mtaa. Charlie Pele na yeye anapambana na gang mbaya ya area yake.
Motoo!