Life ya Gangsta Napenda sana ma-electronics na radio. So nimeamua kujenga pirate radio station- Shujaaz.fm! DJ B mwenyewe, ndani ya nyumba!
...ksskss...
oe! ...ksskss...
tosh!!!
kumbe ni wewe, slim? mbona unajificha?
Unakumbuka O.G.? Yule boy alituingiza kwa gang?
Ni kutuliza kiasi, si unajua tunasakwa na makarao mtaani.
Anarudi bana! Niunganishie kuku tumpikie, at least ka-welcome hivi!
heh.
Hizo risto za gang nilichoka nazo. Ndio job ni hard lakini najitegemea.
uko down.
3