Sasa nita-do, imagine Asif na Popo wameni-ask tuende date.
Nini iko hapo ya kufikiria? Enda na Popo, nim-cool lakini Asif atakupeleka date kwa library. Plus Popo ni m-tall, m-hot na yuko na swaga
Enyewe mi na Popo tuna match!!!
Nisha-make decision, nitaenda na Popo.
eeee, kama chapo na ndengu!
10
Sooo, unafikiria kuchagua nani?
SHUJAAZ_C25.indd 10
16/02/2012 18:17