Skip to main content

MKATABA WA HUDUMA - KEPROBA

Page 1

MKATABA WA HUDUMA NAMBARI

HUDUMA

UNACHOHITAJI

GHARAMA

RATUBA YA WAKATI

NAMBARI

HUDUMA

UNACHOHITAJI

GHARAMA

RATUBA YA WAKATI

1

Kujibu simu za offisini na nambari rasmi

Kupiga simu

Bure

Sekunde kumi na tano

10

Uondoaji wa bidhaa zakizamani

Wasilisha Zabuni

Bure

Siku sitini tangu siku ya matangazo

2

Majibu kwa wateja offisini

Ingia offisini kisha uliza

Bure

Dakika moja

11

Kujifahamisha kuhusu mambo muhimu nakujihusisha kikamilifu

Bure

Siku moja

3

Kujibu malalamishi ya Umma

Eleza malalamiko

Bure

Siku moja rasmi ya kazi

Kushirikisha Umma katika kutengeza sera

12

Ajira aya wafanyikazi

Leta maombi rasmi kuhusu matangazo

Bure

Siku themanini na tano

4

Kutatua Malalamishi

Eleza ama Andika malalamishi

Bure

Siku kumi na nne rasmi za kazi

13

Jinsi ya Kupata Habari

Weka ombi lakutaka Habari

Bure

Siku ishirini na moja

5

Kuandikisha Wachuuzi

• • • • •

Bure

Siku kumi na nne rasmi za kazi.

14

Kuchagua kampuni kulingana na umuhimu wa bidhaa kwa soko juu ya shughuli ya kutangaza

kutibitisha kupokea maombi

Bure

Siku saba baada ya kupokea maombi ndani ya siku kumi na nne baada ya kuchagua

15

Kubuni na maendeleo ya bidhaa

Uwasilishaji ya fomu ya wasifu ya biashara

Bure

Kwa siku tano

16

Mafunzo ya biashara ya nchi za nje

Majibu kwa matangazo

Bure

Kwa siku kumi baada ya kutamatisha mualiko

17

Utafiti uliofanyika

Ombi la taarifa kupitia barua pepe au simu

Bure

Hutegemea upeo na mda ulio kubaliwa

18

Taarifa ya bei wa bidhaa

Ombi la taarifa kupitia barua pepe au simu

Bure

Ndani ya siku tano

19

Utafiti wakina wa soko

Ombi la Habari kupitia barua pepe

Bure

Hutegemea upeo na mda ulio kubaliana

20

Picha, uzalishaji wa filamu na ubinifu kwa uchoraji

Andika ombi la huduma

Ina gharama

Kulingana na mda uliokubaliana

• • • •

Fomu ya maombi iliyojazwa kikamilifu. Wasifu wa kampuni. Cheti cha usajili wa kampuni Cheti halali chakujisajili kutoa kodi. Cheti halali chakutoa kodi ama cheti cha msamaha wa kodi. Nakala halalai za benki. Chapa ya cheti chakusajiliwa na chama chausajili husika. Risiti ya fedha zisizo rejeshwa. Chapa za nakala ya mapato ya kodi ya waka, iliyothibitishwa na msajili wa kampuni. Kitambulisho ama Paspoti.

6

Ombi la kunukuu

Hati ya kunukuu

Bure

Siku saba

7

Usindikizaji wa zabuni

Wasilisha zabuni za bidhaa na huduma

Bure

Siku kumi nan ne (nchini) Siku ishirini na moja (nchi za nje)

8

Arifa ya kuhusu mshindi wa zabuni

Fika kwa tovuti ya ununuzi ya kielektroniki kwa arifa

Bure

Siku moja ya kazi

Malipo ya bidhaa na huduma zilizopokelewa

Wasilisha Ankara ama agizo la ununuzi. Cheti cha ukamilishaji wa huduma ama bidhaa

Bure

9

Kuhusu utendakazi kwa: Ripoti jambo lolote

THE CHIEF EXECUTIVE OFFICER Kenya Export Promotion and Branding Agency 16th Floor Anniversary Towers, University Way P.O. Box 40247-00100 Nairobi, Kenya

Siku thelathini tangu kupokea anakara

Tel: +254(020)2228534 / 0722 205 875; Email: chiefexe@brand.ke | enquiries@brand.ke

Or

THE COMMISSION FOR ADMINISTRATIVE JUSTICE (Office of the Ombudsman) 2nd Floor, West End Towers Opposite Aga Khan High School off Waiyaki Way Westlands

P.O. Box 20414 – 00200, NAIROBI. Tel: +254-20-2270000


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
MKATABA WA HUDUMA - KEPROBA by MakeItKenya - Issuu