Skip to main content

Swahili - The Christian Worker Farmer Soldier - Hammer Sickle Sword

Page 1


MfanyakaziMkristo,Mkulima,Askari (Nyundo,Mundu,Upanga)

Je,nenolangusikamamoto,asemaBwana,nakamanyundoivunjayomwambavipandevipande? Yeremia23:29

Tiamundu,maanamavunoyameiva;njooni,kaenichini;maanashinikizolimejaa,mafuta yanafurika;kwamaanauovuwaonimwingiYoeli3:13

Yesualizunguka-zungukakatikamijiyotenavijiji,akifundishakatikamasinagogiyao,nakuhubiri injiliyaufalme,nakuponyamagonjwayotenaudhaifuwakilaainamiongonimwawatu.Lakini alipowaonamakutano,aliwahurumia,kwasababuwalikuwawamechokanakutawanyikakama kondoowasionamchungajiNdipoakawaambiawanafunziwake,Mavunonimengikweli,lakini wafanyakaziniwachache;basimwombeniBwanawamavuno,apelekewafanyakazikatikamavuno yakeMathayo9:35-38

Kwahiyoakawaambia,Mavunonimengikweli,lakiniwatendakaziniwachache;basimwombeni Bwanawamavuno,apelekewatendakazikatikamavunoyake.Luka10:2

Yesuakawaambia,Chakulachangunikufanyamapenziyakealiyenituma,nakuimalizakaziyake. Hamsemi,Badomieziminne,ndipomavunoyatakapofika?Tazama,nawaambia,Inuenimachoyenu, mkayatazamemashamba;kwakuwayamekwishakuwameupekwaajiliyakuvunwaNayeavunaye hupokeamshahara,nakukusanyamatundakwauzimawamilele;iliyeyeapandayenayeyeavunaye wafurahipamojaNanenohilinikweli,Mmojahupanda,mwinginehuvunaMiminimewatuma mvunemsioufanyiakazi;wenginewalifanyakazi,nanyimmeingiakatikataabuyao.Yohana4:34-38

Imenipasakuzifanyakazizakeyeyealiyenitumamaadamunimchana;usikuwajaambapohakuna mtuawezayekufanyakaziYohana9:4

Kwahiyo,nduguzanguwapendwa,iweniimara,msiondoke,mkizidisanakufanyakaziyaBwana sikuzote,kwakuwamnajuayakwambakaziyenusiburekatikaBwana.1Wakorintho15:58 Wagalatia6:9Walatusichokekatikakutendamema;maanatutavunakwawakatiwake,tusipozimia.

Tenaipokeenikofiayachumayawokovu,naupangawaRoho,ambaoninenolaMungu;Waefeso 6:17

Basiwewe,mwanangu,uwehodarikatikaneemailiyokatikaKristoYesuNamambouliyoyasikia kwangumbeleyamashahidiwengi,hayouwakabidhiwatuwaaminifu,watakaowezakuwafundisha wenginepia.Kwahivyovumiliamagumu,kamaaskarimwemawaYesuKristo.Hakunamtu apigayevitaajitiayekatikamamboyamaishahaya,iliampendezeyeyealiyemchaguakuwaaskari Namtuakishindanakatikamichezo,havimwitaji,isipokuwaakishindanakwahalali.2Timotheo 2:1-5

JitahidikujionyeshakuwaumekubaliwanaMungu,mtendakaziasiyenasababuyakutahayari, ukitumiakwahalalinenolakweli.2Timotheo2:15

KwamaanaNenolaMungunihai,nalinanguvu,nalinaukalikulikoupangawowotewenyemakali kuwili,lachomahatakugawanyanafsinaroho,naviungonamafutayaliyomondaniyake;tenali jepesikuyatambuamawazonamakusudiyamoyo.Waebrania4:12

Lakiniwenyehakihuishimilele;thawabuyaopiaikokwaBwana,nautunzajiwaoukokwaAliye Juu.Kwahivyowatapokeaufalmewautukufu,natajinzurikutokakwamkonowaBwana:kwani kwamkonowakewakuumeatawafunika,nakwamkonowakeatawalindaAtamchukuliawivu wakekamasilahakamili,nakumfanyakiumbekuwasilahayakekwakisasichaaduizake.Atavaa hakikamakifuani,nahukumuyakwelibadalayakofiayachumaAtauchukuautakatifukamangao isiyoshindika.Hasirayakekaliatainyoakamaupanga,naulimwenguutapigananayedhidiyawasio naakili.HekimayaSulemani5:15-20

Usichukiekazingumu,walaufugaji,ambaoAliyeJuuameuamuruMhubiri7:15

Anawezajekupatahekimaashikayejembe,nakujivuniamchokoo,aendeshayeng'ombe,na kujishughulishanakazizao,naambayehuzungumzakuhusung'ombe?Hutoaakiliyakekutengeneza mifereji;naanabidiikuwapang'ombechakula.Kwahivyokilaseremalanafundi,anayefanyakazi usikunamchana:nawalewanaokatanakuziba,nawanaojitahidikutengenezaainanyingi,na kujitoleakwasanamubandia,nakuangaliailikumalizakazi:Fundipiaameketikaribunafuawe,na akiangaliakaziyachuma,mvukewamotohuharibumwiliwake,naanapigananajotolatanuru; sautiyanyundonafuawehuwamasikionimwakekilawakati,namachoyakeyanatazamatu muundowakituanachofanya;anawekaniayakekumalizakaziyake,naanaangaliailikuisugua vizuri:Ndivyoafanyavyomfinyanzianayeketikazinimwake,nakuzungushagurudumukwamiguu yake,ambayehuwamakinikilawakatikaziyake,nakufanyakaziyakeyotekwahesabu; Hufinyangaudongokwamkonowake,nakuinamishanguvuzakembeleyamiguuyake;hujibidiisha kuuongoza;nayeanabidiikusafishatanuru;wotehawahuitegemeamikonoyao;nakilamtuana hekimakatikakaziyake.Bilahawamjihauwezikukaliwa;walahawatakaapopotewapendapo,wala hawatakwendahukunahuko;hawatatafutwahadharani,walahawataketijuukatikamkutano; hawataketikatikakitichamajaji,walakuelewahukumuyahukumu;hawawezikutangazahakina hukumu;walahawatapatikanamahaliambapomifanoinasemwa.Lakiniwatadumishahaliya ulimwengu,natamaayaoyoteikokatikakaziyaufundiwaoMhubiri38:25-34

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Swahili - The Christian Worker Farmer Soldier - Hammer Sickle Sword by Filipino Tracts and Literature Society Inc. - Issuu