

MajituyaKibiblia
Pentateuki
Kulikuwanamajitudunianisikuhizo;napiabaadayahayo,wanawaMunguwalipoingiakwabintiza wanadamu,wakazaanaowana;haondiowaliokuwawatuhodariwazamani,watuwenyesifa.Mwanzo6:4
NahukotuliwaonaWanefili,wanawaAnaki,waliotokakwaWanefili;namachonipetutulikuwakamapanzi, nandivyotulivyokuwamachonipao.Hesabu13:33
Waemiwaliishihumohapozamani,watuwakubwa,wengi,warefu,kamaWaanaki;ambaonaowalihesabiwa kuwamajitu,kamaWaanaki;lakiniWamoabihuwaitaWaemi.KumbukumbulaTorati2:10-11
KumbukumbulaTorati2:19-21
UtakapokaribiakuwakabiliwanawaAmoni,usiwasumbue,walausishindanenao;kwamaanasitakupakatika nchiyawanawaAmonimilkiyoyote;kwasababunimewapawanawaLutuiwemilkiyao.(Hiyonayo ilihesabiwakuwanchiyaWarefai;Warefaiwalikaahumohapozamani;naoWaamonihuwaitaWazamzumi; watuwakubwa,wengi,warefu,kamaWaanaki;lakiniBwanaaliwaangamizambeleyao;naowakawafuata, wakakaabadalayao
KwamaanaOgumfalmewaBashanindiyealiyebakimiongonimwamabakiyaWarefai;tazama,kitanda chakekilikuwakitandachachuma;je,hakikoRabakwawanawaAmoni?Urefuwakeulikuwadhiraatisa,na upanawakedhiraanne,kwakipimochadhiraayamtuNanchihii,tuliyoimilikiwakatihuo,kuanziaAroeri, iliyokaribunabondelaArnoni,nanusuyavilimavyaGileadi,namijiyake,niliwapaWareubeninaWagadi NaGileadiiliyobaki,naBashaniyote,ukiwaufalmewaOgu,niliwapanusuyakabilalaManase;nchiyoteya Argobu,pamojanaBashaniyote,ambayoiliitwanchiyaWarefaiKumbukumbulaTorati3:11-13
Historia
NampakawaOgumfalmewaBashani,aliyekuwammojawamabakiyaWarefai,waliokaaAshtarothina Edrei,Yoshua12:4
ufalmewotewaOguhukoBashani,aliyetawalakatikaAshtarothinaEdrei,ambayealibakimiongonimwa mabakiyaWarefai;kwaniMusaaliwapigahao,akawafukuza.Yoshua13:12
NampakaukaendeleakaribunabondelamwanawaHinomu,hataupandewakusiniwaWayebusi;ndio Yerusalemu;nampakaukaendeleahadikilelechamlimauliombeleyabondelaHinomuupandewa magharibi,lililokomwishowabondelaWarefaiupandewakaskazini;Yoshua15:8
Yoshuaakawajibu,“Kamawewenitaifakubwa,basi,pandauendemsituni,ukajikatieardhihukokatikanchi yaWaperizinaWarefai,ikiwamilimayaEfraimuninyembambasanakwako”Yoshua17:15
KishampakaukashukahadimwishowamlimauliombeleyabondelamwanawaHinomu,lililokokatika bondelaWarefaiupandewakaskazini,kishaukashukahadibondelaHinomu,hadiubavunimwaYebusi upandewakusini,kishaukashukahadiEnrogeli,Yoshua18:16
1Samweli17
1WakatihuoWafilistiwalikusanyamajeshiyaokwaajiliyavita,naowakakusanyikahukoSoko,uliowa Yuda,wakapigakambikatiyaSokonaAzeka,hukoEfesdamimu
2SaulinawatuwaIsraeliwakakusanyika,wakapigakambikaribunabondelaEla,wakapangavitajuuya Wafilisti
3Wafilistiwakasimamajuuyamlimaupandemmoja,naIsraeliwakasimamajuuyamlimaupandemwingine; napalikuwanabondekatiyao
4AkatokashujaammojakatikakambiyaWafilisti,jinalakeGoliathi,waGathi,ambayeurefuwakeulikuwa dhiraasitanashibirimoja.
5Alikuwaamevaakofiayashabakichwani,naalikuwaamevaaderayayachuma;nauzitowakotihiyo ulikuwashekelielfutanozashaba.
6Alikuwanavifunikovyashabamiguunimwake,namkukiwashabakatiyamabegayake.
7Namtiwamkukiwakeulikuwakamamtiwamfumaji;nakichwachamkukiwakekilikuwanauzitowa shekelimiasitazachuma;namtualiyemchukuliangaoalimtangulia.
8Akasimama,akawapigiakelelemajeshiyaIsraeli,akawaambia,Mbonammetokakupangavita?Mimisi Mfilisti,nanyisiwatumishiwaSauli?Chaguenimtummoja,ajekwangu.
9Akiwezakupigananaminakuniua,sisitutakuwawatumwawenu;lakininikimshindanakumuua,ninyi mtakuwawatumwawetu,nakututumikia.
10YuleMfilistiakasema,NinayatukanamajeshiyaIsraelileo;nipenimtu,tupiganepamoja.
11SaulinaIsraeliwotewaliposikiamanenohayoyaMfilisti,walifadhaika,wakaogopasana.
12BasiDaudialikuwamwanawayuleMwefrathiwaBethlehemuyaYuda,jinalakeakiitwaYese;naye alikuwanawanawanane;nayealikuwamzeemiongonimwawatusikuzaSauli.
13NaowanawatatuwakubwawaYesewakaendanakumfuataSaulivitani;namajinayawanawewatatu waliokwendavitaniyalikuwaEliabumzaliwawakwanza,nawapiliwakeAbinadabu,nawatatuShama.
14NayeDaudialikuwamdogozaidi;nawalewatatuwakubwawakamfuataSauli
15LakiniDaudialikuwaakiendanakurudikutokakwaSauliilikulishakondoozababayakehuko Bethlehemu
16Mfilistihuyoalikaribiaasubuhinajioni,akajionyeshasikuarobaini
17YeseakamwambiaDaudimwanawe,Sasawachukulienduguzakoefamojayabisinamikatehiikumi, uipelekeupesikambinikwanduguzako;
18Mpelekeemkuuwaelfuyaojibinihizikumi,ukawaangalienduguzakowahaligani,nauchukuerehani yao
19BasiSauli,nawao,nawatuwotewaIsraeli,walikuwakatikabondelaEla,wakipigananaWafilisti 20Daudiakaamkaasubuhinamapema,akawaachakondoopamojanamchungaji,akachukuavitu,akaenda, kamaYesealivyomwamuru;akafikakwenyekambi,jeshililipokuwalinatokakwendavitani,nakupigakelele zavita
21KwamaanaIsraelinaWafilistiwalikuwawamejipanga,jeshidhidiyajeshi
22Daudiakaachagarilakemkononimwamtunzamagari,akakimbiliajeshini,akafikaakawasalimundugu zake
23Hataalipokuwaakisemanao,tazama,yuleshujaaakapanda,MfilistiwaGathi,jinalakeGoliathi,kutoka katikajeshilaWafilisti,akasemamanenoyaleyale;nayeDaudiakayasikia
24NawatuwotewaIsraeli,walipomwonamtuhuyo,wakamkimbia,wakaogopasana
25WatuwaIsraeliwakasema,Je,mmemwonamtuhuyualiyepanda?HakikaamepandailikuwatukanaIsraeli; naitakuwa,mtuyuleatakayemuua,mfalmeatamtajirishakwautajirimwingi,nayeatampabintiyake,na kuifanyanyumbayababayakeiwehurukatikaIsraeli
26Daudiakawaambiawatuwaliosimamakaribunaye,akisema,AtafanyiwaninimtuatakayemwuaMfilisti huyu,nakuwaondoleaIsraeliaibuhii?KwaniMfilistihuyuasiyetahiriwaninani,hataawatukanemajeshiya Mungualiyehai?
27Naowatuwakamjibuhivi,wakisema,Ndivyoatakavyofanyiwamtuyuleatakayemwua
28Eliabu,kakayakemkubwa,aliposikiahayo,alipozungumzanawatuhao,hasirayakeEliabuikawakajuu yaDaudi,akasema,Kwaniniumeshukahapa?Nakondoowalewachacheumewaachanananinyikani?Najua kiburichako,nauovuwamoyowako;maanaumeshukailiupatekuonavita
29Daudiakasema,Nimefanyaninisasa?Je,hakunasababu?
30Akamgeukiamtumwingine,akanenamanenoyaleyale;naowatuwakamjibutenamanenoyaleyakwanza
31NamanenoaliyosemaDaudiyaliposikiwa,wakayaelezambeleyaSauli;nayeakatumawatukumwita
32DaudiakamwambiaSauli,Asizimiemoyomtuyeyotekwaajiliyake;mtumishiwakoatakwendakupigana naMfilistihuyu
33SauliakamwambiaDaudi,HuwezikwendakupigananaMfilistihuyu;maanaweweukijanatu,nayeni mtuwavitatanguujanawake
34DaudiakamwambiaSauli,Mtumishiwakoalikuwaakichungakondoozababayake,akajasimba,nadubu, akamnyang'anyamwana-kondookatikakundi
35Naminikatokanikamfuata,nikampiga,nikamwokoakinywanimwake;naaliponirukia,nilimshikandevu zake,nikampiga,nikamwua.
36Mtumishiwakoaliuasimbanadubupia;nahuyuMfilistiasiyetahiriwaatakuwakamammojawao,kwa sababuamewatukanamajeshiyaMungualiyehai.
37Daudiakasema,“BWANAaliyeniokoanamakuchayasimba,namakuchayadubu,ataniokoanamkono waMfilistihuyu.”SauliakamwambiaDaudi,“Nenda,nayeBWANAawepamojanawe.”
38SauliakamvikaDaudimavaziyakeyachuma,akamvikakofiayashabakichwani,napiaakamvikaderaya yachuma.
39Daudiakajifungaupangawakejuuyamavaziyakeyavita,akajaribukwenda;kwamaanahakuwa ameyajaribu.DaudiakamwambiaSauli,Siwezikwendanahaya;kwamaanasijayajaribu.NdipoDaudi akayavua.
40Akachukuafimboyakemkononimwake,akajichaguliamawematanolainikutokakwenyekijito, akayawekakatikamfukowamchungajialiokuwanao,hatamkoba;nakombeolakelilikuwamkononimwake; akamkaribiayuleMfilisti.
41Mfilistihuyoakaja,akamkaribiaDaudi;namtualiyembebeangaoakamtangulia.
42Mfilistialipotazamahukunahuku,akamwonaDaudi,akamdharau;kwakuwaalikuwakijanatu, mwekundu,namwenyeusomzuri.
43YuleMfilistiakamwambiaDaudi,“Je,miminimbwahataunijienafimbo?”MfilistiakamlaaniDaudikwa miunguyake
44MfilistiakamwambiaDaudi,Njookwangu,naminitawapandegewaanganinawanyamawaporininyama yako
45NdipoDaudiakamwambiayuleMfilisti,Weweunanijiamiminaupanga,namkuki,nangao;balimimi ninakujiawewekwajinalaBwanawamajeshi,MunguwamajeshiyaIsraeli,uliyemtukana
46LeoBwanaatakutiamkononimwangu,naminitakupiga,nakukuondoleakichwachako;namileonitawapa ndegewaanganinawanyamawanchimizogayajeshilaWafilisti,iliduniayoteijueyakuwayukoMungu katikaIsraeli
47NamkutanohuuwotewatajuayakwambaBwanahaokoikwaupangawalakwamkuki;maanavitanivya Bwana,nayeatawatianinyimikononimwetu
48Ikawa,Mfilistialipoinuka,akajanakumkaribiaDaudi,ndipoDaudiakafanyaharaka,akalikimbiliajeshiili kumkabiliMfilisti
49Daudiakatiamkonowakemfukoni,akatwaajiwehumo,akalitupakwakombeo,akampigaMfilistikatika pajilausowake,jiwelikamchoma,akaangukakifudifudi
50BasiDaudiakamshindaMfilistikwakombeonajiwe,akampigaMfilisti,akamwua;lakiniDaudihakuwa naupangamkononimwake
51BasiDaudiakakimbia,akasimamajuuyaMfilisti,akautwaaupangawake,akautoaalanimwake,akamwua, akamkatakichwakwaupangahuoNaWafilistiwalipoonashujaawaoamekufa,wakakimbia
52NdipowatuwaIsraelinaYudawakainuka,wakapigakelele,wakawafuatiaWafilisti,hataufikapobondeni, namalangoyaEkroni;namajeruhiwaWafilistiwakaangukakandoyanjiaiendayoShaarimu,hataGathi,na hataEkroni
53WanawaIsraeliwakarudikutokakuwafukuzaWafilisti,wakatekanyarakambizao
54DaudiakachukuakichwachaMfilistihuyo,akakiletaYerusalemu;lakinisilahazakeakaziwekahemani mwake
55SaulialipomwonaDaudiakitokakwendakumkabiliMfilisti,alimwambiaAbneri,jemadariwajeshi, “Abneri,kijanahuyunimwanawanani?”Abneriakasema,“Kamarohoyakoiishivyo,Eemfalme,sijui”
56Mfalmeakasema,Ulizawewekijanahuyunimwanawanani
57HataDaudialiporudikutokakumwuaMfilisti,Abnerialimchukua,akamletambeleyaSauli,akiwana kichwachaMfilistimkononimwake
58Sauliakamwuliza,“Wewekijana,wewenimwanawanani?”Daudiakajibu,“Miminimwanawa mtumishiwakoYese,Mbethlehemu”
NaIshbibenobu,mmojawawanawayuleMrefai,ambayemkukiwakeulikuwanauzitowashekelimiatatu zashaba,akiwaamejifungaupangampya,akafikirikumwuaDaudiLakiniAbishaimwanawaSeruya akamsaidia,akampigayuleMfilisti,akamwua.NdipowatuwaDaudiwakamwapia,wakisema,Hutatokatena kwendavitani,usijeukaizimataayaIsraeliIkawabaadayahayo,kulikuwanavitatenanaWafilistihuko Gobu;ndipoSibekai,Mhushathi,akamwuaSafu,mmojawawanawayuleMrefai.Kulikuwanavitatenana WafilistihukoGobu,ambapoElhanani,mwanawaYaareoregimu,Mbethlehemu,alimwuanduguyeGoliathi, Mgiti,ambayempiniwamkukiwakeulikuwakamamtiwamfumaji.KulikuwanavitatenahukoGathi, ambapopalikuwanamtumrefusana,mwenyevidolesitakilamkono,navidolesitakilamguu,ishirinina vinnekwahesabu;nayepiaalizaliwanayuleMrefai.NayealipowatukanaIsraeli,Yonathani,mwanawa Shimea,nduguyeDaudi,akamwua.HaowannewalizaliwakwayuleMrefaithihukoGathi,wakaangukakwa mkonowaDaudi,nakwamkonowawatumishiwake.2Samweli21:16-22
Ikawabaadayahayo,kulitokeavitanaWafilistihukoGezeri;wakatihuoSibekai,Mhushathi,akamwuaSipai, mmojawawanawaWarefai;naowakashindwa.KukatokeavitatenanaWafilisti;naElhanani,mwanawa Yairi,akamwuaLahminduguyeGoliathi,Mgiti,ambayempiniwamkukiwakeulikuwakamamtiwa mfumaji.KukatokeavitatenahukoGathi,ambapopalikuwanamtumrefusana,ambayevidolevyakena vidolevyakevilikuwaishirininavinne,sitakilamkono,nasitakilamguu;nayepiaalikuwamwanawayule Mrefai.LakinialipowatukanaIsraeli,Yonathani,mwanawaShimea,nduguyeDaudi,akamwua.Hao walizaliwakwayuleMrefaihukoGathi;naowakaangukakwamkonowaDaudi,nakwamkonowa watumishiwake1MamboyaNyakati20:4-8
Amenivunjakwauvunjifubaadayauvunjifu,AnanishambuliakamajituAyubu16:14
Apokrifa
Kwaniyuleshujaahakuangukanavijana,walawanawaTitanhawakumpiga,walamajitumakubwa hayakumshambulia;lakiniYudithi,bintiMerari,alimdhoofishakwauzuriwausowake.Judithi16:7
Kwamaanazamanizakale,wakatimajituyenyekiburiyalipoangamia,tumainilaulimwengulililotawaliwa namkonowakolilitorokakatikachombodhaifu,nakuachwakwavizazivyotembeguyakizazi.Hekimaya Sulemani14:6
Hakuwaametuliakwamajituyazamani,ambayoyaliangukakwanguvuyaupumbavuwao.Mhubiri16:7
Kamavilemafutayanavyoondolewakatikasadakayaamani,ndivyoDaudialivyochaguliwakutokakwa wanawaIsraeliAlichezanasimbakamawana-mbuzi,nanadubukamawana-kondooHakumuuajitu, alipokuwabadokijanatu?Naje,hakuondoaaibukutokakwawatu,alipoinuamkonowakenajiwekwenye kombeo,nakuangushamajivunoyaGoliathi?KwamaanaalimwitaBwanaAliyeJuuSana;nayeakampa nguvukatikamkonowakewakuumeiliamuueshujaahuyohodari,nakuinuapembeyawatuwake.Mhubiri 47:2-5
Kulikuwanamajitumaarufutangumwanzo,waliokuwawarefusana,nahodarikatikavitaHao hawakuchaguliwanaBwana,walahakuwapanjiayamaarifa;lakiniwaliangamizwa,kwasababuhawakuwa nahekima,nawakaangamiakwaupumbavuwaowenyeweBaruku3:26-28
NdipomwanaweYuda,aliyeitwaMakabayo,akasimamabadalayakeNduguzakewotewakamsaidia,na wotewaliomshikiliababayakewakafanyavivyohivyo,naowakapiganavitavyaIsraelikwafurahaKwa hiyoakawapatiawatuwakeheshimakubwa,akavaakifuanikamajitu,akajifungasilahazakezakivita, akapiganavita,akililindajeshikwaupangawakeKatikamatendoyakealikuwakamasimba,nakama mwana-simbaanayengurumakwamawindoyakeKwamaanaaliwafuatawaovu,akawatafuta,na kuwateketezawalewaliowatesawatuwakeKwahiyowaovuwalijikwaakwakumwogopa,nawotewatendao uovuwalifadhaika,kwasababuwokovuulifanikiwamkononimwakePiaaliwahuzunishawafalmewengi, akamfurahishaYakobokwamatendoyake,naukumbushowakeunabarikiwamileleZaidiyahayoalipita katikamijiyaYuda,akiwaangamizawaovukutokakwao,nakuiondoaghadhabukutokakwaIsraeli;hata akajulikanahadimwishowadunia,nayeakawapokeawalewaliokuwatayarikuangamia1Makabayo3:1-9
Henoko
Nawenginewotepamojanaowakajitwaliawake,kilammojaakajichaguliammoja,wakaanzakuingiakwao nakujitiaunajisinao,wakawafundishahirizinauchawi,nakukatamizizi,nakuwafahamishamimea Wakapatamimba,wakazaamajitumakubwa,ambayourefuwakeulikuwaellselfutatu(Ellsnikipimocha kaskazinimagharibimwaUlaya,ambachohapoawalikilielewekakamadhiraamoja,urefuwamkonowa pamojanamkonoulionyooshwaVipimovinginevyaellsnisawanainchi27-45):Ambaowalikulavituvyote vyawanadamuNawanadamuwaliposhindwakuwalishatena,majituhayoyaliwageukianakuwala wanadamuNaowakaanzakutendadhambidhidiyandege,nawanyama,navitambaavyo,nasamaki,nakula nyamayakilammoja,nakunywadamuNdiponchiikawashtakiwalewaasiHenoko7:1-6
Nawanawakehaowamezaamajitu,nakwanjiahiyoduniayoteimejaadamunauovuHenoko9:9
Akajibuakaniambia,naminikasikiasautiyake:Usiogope,Henoko,wewemtumwadilifunamwandishiwa haki;njoohapausikiesautiyanguNendaukawaambieWalinziwambinguni,waliokutumakuwaombea: Unapaswakuwaombeawanadamu,nasiwanadamukwaajiliyako:Kwaninimmeachambinguiliyojuu, takatifu,nayamilele,nakulalanawanawake,nakujitiaunajisinabintizawanadamunakujitwaliawake,na kufanyakamawatotowadunia,nakuzaamajitukamawanawenu?Naingawamlikuwawatakatifu,wakiroho, mkiishiuzimawamilele,mmejitiaunajisikwadamuyawanawake,nammezaawatotokwadamuyamwili, na,kamawatotowawanadamu,mmetamanimwilinadamukamawalewanaokufanakuangamia.Kwahiyo nimewapawakepiailiwawapatiemimbanakuzaawatotonao,iliwasipungukiwenakituchochoteduniani. Lakinihapoawalimlikuwawakiroho,mkiishiuzimawamilele,namsiokufakwavizazivyotevya ulimwengu.Nakwahiyosikuwawekeawake;Kwamaanakuhusuwalewakirohowambinguni,makaoyao nimbinguni.Nasasa,majitu,ambaowametokananarohonamwili,wataitwarohowabayaduniani,na dunianipatakuwamakaoyao.Rohowabayawametokakatikamiiliyao;kwasababuwamezaliwana wanadamu,nakutokakwaWalinziwatakatifundiomwanzonaasiliyaoyaawali;watakuwarohowabaya duniani,narohowabayawataitwa.Kuhusurohozambinguni,makaoyaoyatakuwambinguni,lakinikuhusu rohozaduniazilizozaliwaduniani,makaoyaoyatakuwaduniani.Narohozamajituhutesa,hukandamiza, huharibu,hushambulia,hufanyavita,nahufanyauharibifuduniani,nakusababishamatatizo:hawalichakula, lakinihatahivyowananjaanakiu,nahusababishamakosa.Narohohizizitainukadhidiyawatotowa wanaumenawanawake,kwasababuwametokakwao.Henoko15:1-11
Tangusikuzakuchinjwanakuangamizwanakifochamajitu,kutokakwarohozaoambazorohozao,zikitoka, zitaangamizabilakupatahukumu.Hivyondivyowatakavyoangamizahadisikuyamwisho,hukumukuu ambayowakatihuoutakamilika,juuyaWalinzinawasiomchaMungu,naam,itakamilikakabisa.Henoko 16:1
Nami,Henoko,nilimjibunikamwambia:Bwanaatafanyajambojipyaduniani,nahilitayarinimeonakatika maono,naminitakujulishakwambakatikakizazichababayanguYaredibaadhiyamalaikawambinguni walivunjanenolaBwanaNatazama,wanatendadhambinakuvunjasheria,nawamejiunganawanawakena kutendadhambinao,nawameoabaadhiyao,nawamezaawatotonaoNaowatazaamajitudunianisikwa roho,balikwamwili,nakutakuwanaadhabukubwaduniani,naduniaitasafishwakutokananauchafuwote
Naam,kutakujauharibifumkubwajuuyadunianzima,nakutakuwanagharikanauharibifumkubwakwa mwakammojaHenoko106:13-16
Yubilei
Ikawawanawawanadamuwalipoanzakuongezekausonipadunianabintiwakazaliwakwao,malaikawa Munguwaliwaonakatikamwakafulaniwayubilehii,kwambawalikuwawazuriwakuonekana;wakajitwalia wakewotewaliowachagua,wakazaanaowana,naowakawamajituYubile5:1
Kwasababuyamambohayamatatu,gharikailikujaduniani,yaani,kutokananauasheratiambapoWalinzi dhidiyasheriayamaagizoyaowalifanyauzinzinabintizawanadamu,wakajitwaliawakewote waliowachagua;naowakafanyamwanzowauchafuWakazaawanawaNafidi,naowotehawakuwasawa, wakalakilammoja;naoWanefiliwaliwauaWanafidi,naoWanafidiwakawauaWanafidi,naWanafidi wakawauaWanafidi,naWanafidiwakawauawanadamuwaEljo,naWanafidi,nakilamtumwingineNakila mtuakajiuzakutendauovunakumwagadamunyingi,naduniaikajaauovuJubilei7:21-23
Akawaambiakuhusuhukumuyamajitu,nahukumuyaWasodoma,jinsiwalivyohukumiwakwasababuya uovuwao,nakufakwasababuyauasheratiwao,nauchafuwao,nauharibifuwapandezotembilikwanjiaya uasheratiJubilei20:5
LakinihapoawaliwalikuwawakiitanchiyaGileadinchiyaWarefai;kwaniilikuwanchiyaWarefai,na Warefaiwalizaliwahuko,majituambaourefuwaoulikuwadhiraakumi,tisa,nane,hadidhiraasabaYubilei 29:9
VitabuvyaEdeniVilivyosahaulika
Wanaumehaowalinipelekambinguniyatanonakuniweka,nahaponiliwaonawanajeshiwengi wasiohesabika,walioitwaGrigori,wenyesurayakibinadamu,naukubwawaoulikuwamkubwakulikoulewa majitumakubwananyusozaozikakauka,naukimyawavinywavyaoukawawakudumu,nahakukuwana hudumambinguniyatano,naminikawaambiawanaumewaliokuwapamojanami:Kwaninihawa wamepoozasanananyusozaozinahuzuni,navinywavyaovikawakimya,nakwaninihakunahuduma mbingunihii?Wakaniambia:HawaniGrigori,ambaopamojanamkuuwaoShetaniilwalimkataaBwanawa nuru,nabaadayaoniwalewaliofungwagizanikubwambinguniyapili,nawatatukatiyaowalishukaduniani kutokakitichaenzichaBwana,hadimahalipaErmon,nawakavunjaviapovyaobeganimwakilimacha Ermonnakuwaonabintizawanadamujinsiwalivyowema,wakajitwaliawake,nakuichafuaduniakwa matendoyao,ambaokatikanyakatizotezaenziyaowalifanyauasinakuchanganya,namajituhuzaliwana watuwakubwawaajabunauaduimkubwaKwahiyoMungualiwahukumukwahukumukubwa,nao wanawalilianduguzaonaowataadhibiwasikukuuyaBwanaSirizaHenoko18:1-4
Kwahivyo,kimbieni,wanangu,uasherati,nawaamuruwakezenunabintizenu,wasijipambevichwana nyusozaoilikudanganyaakili:kwasababukilamwanamkeanayetumiahilahizihuogaamehifadhiwakwa adhabuyamileleKwamaanahivyowaliwavutiaWalinziwaliokuwakablayagharika;kwanikamahawa walivyowaonakilamara,waliwatamani,nawakafikiriatendohiloakilinimwao;kwaniwalijibadilishakuwa naumbolawanaume,nawakawatokeawalipokuwanawaumezao.Nawanawakewaliotamanikatikaakili zaoumbolao,walizaamajitu,kwaniWalinziwalionekanakwaokamawanaofikahatambinguniKwahivyo, jihadharininauasherati;naikiwamnatakakuwasafiakilini,jilindeniakilizenunakilamwanamkeAganola Reubeni2:17-20
Akori,mfalme,mtumrefusana,nilimkuta,akitupamikukimbelenanyumaalipokuwaameketijuuyafarasi, naminikachukuajiwelenyeuzitowapaunisitini,nikalirushanakumpigafarasiwake,nikamwua.Nababa yanguYakoboakamuuaBeelesathi,mfalmewawafalmewote,jitulenyenguvu,urefuwadhiraakumina mbili.AganolaYuda1:18,22